
Malaika by Miriam Makeba Mp3 Download
Elevate your playlist with Miriam Makeba titled Malaika. Zenzile Miriam Makeba, nicknamed Mama Africa, was a South African singer, songwriter, actress, and civil rights activist. Turn up the volume on this classic.
Use the link below to stream and download Malaika by Miriam Makeba.
Lyrics of Malaika by Miriam Makeba
Malaika
Nakupenda malaika Malaika Nakupenda malaikaNingekuoa mali we
Ningekuoa dada Nashindwa na mali sina we Ningekuoa malaika Nashindwa na mali sina we Ningekuoa malaikaPesa
Zasumbua roho yangu Pesa Zasumbua roho yanguNami nifanyeje, kijana mwenzio
Nashindwa na mali sina we Ningekuoa malaika Nashindwa na mali sina we Ningekuoa malaikaKidege
Hukuwaza kidege Kidege Hukuwaza kidegeNami nifanyeje, kijana mwenzio
Nashindwa na mali sina, we Ningekuoa malaika Nashindwa na mali sina, we Ningekuoa malaikaMalaika
Nakupenda malaika Malaika Nakupenda malaikaNami nifanyeje, kijana mwenzio
Nashindwa na mali sina we Oh, ningekuoa malaika Nashindwa na mali sina we Yes, I love you my angel I said, I love you my angelNingekuoa malaika
Ningekuoa malaika
Leave a Reply