
Tenda by Deborah Lukalu Mp3 Download
Pure fire from Deborah Lukalu titled Tenda. Deborah Lukalu is a popular Congolese-South African gospel singer known for her motivational music and passionate performances. Fans of real music will appreciate this timeless sound.
Use the link below to stream and download Tenda by Deborah Lukalu.
Lyrics of Tenda by Deborah Lukalu
Come on, somebody shout for Jesus!
Eh, hakuna, hakuna, hakuna Mungu kama wewe Baba
(Hakuna, hakuna, hakuna Mungu kama wewe Baba) Hakuna mwingine kama wewe Baba (Hakuna, hakuna, hakuna Mungu kama wewe Baba) Hakuna mwingine, kimbilio langu (Hakuna, hakuna, hakuna Mungu kama wewe Baba) Eh, hakuna mwingine, baba wa wajane (Hakuna, hakuna, hakuna Mungu kama wewe Baba) somebody dance for JesusHey
Hey, Mungu ni chefu (chefu) wa Mataifa yote (wa Mataifa yote) Mungu ni chefu (chefu) wa Mataifa (Mataifa yote) Mungu ni chefu (chefu) wa Mataifa yote (wa Mataifa yote) Mungu ni chefu (chefu) wa Mataifa (Mataifa yote) Eh, Mungu ni chefu (chefu) wa Mataifa yote (wa Mataifa yote) Mungu ni chefu (chefu) wa Mataifa (Mataifa yote) one, two, threeEh, Mungu ni chefu (chefu) wa Mataifa yote (wa Mataifa yote)
Mungu ni chefu (chefu) wa Mataifa (Mataifa yote) Mungu ni chefu (chefu) wa Mataifa yote (wa Mataifa yote) Mungu ni chefu (chefu) wa Mataifa (Mataifa yote) Eh, Mungu ni chefu (chefu) wa Mataifa yote (wa Mataifa yote) Mungu ni chefu (chefu) wa Mataifa (Mataifa yote) Mungu ni chefu (chefu) wa Mataifa yote (wa Mataifa yote) Mungu ni chefu (chefu, Mataifa yote) can you dance for the Lord?Piga mikono
Piga mikono, piga mikono Piga mikono, piga mikono Piga mikono, piga mikono Piga mikono, piga mikonoAlitenda mambo makubwa, wanadamu hawakuelewa, we tenda
(Tenda, tenda, tenda)Tenda, eh Baba, tenda (eh, yo, yo)
Tenda, eh Baba, tenda (Baba wa maajabu) Tenda, eh Baba, tenda (eh, yo, yo) Tenda, eh Baba, tenda (Mungu wa uzima) Tenda, eh Baba, tenda (Mungu wa salama, yo, yo) Tenda, eh Baba, tenda (Baba wa wajane) Tenda, eh Baba, tenda (eh, yo, yo) Tenda, eh Baba, tendaAlitenda mambo makubwa, Shetani ashikwe leo, we tenda
(Tenda, tenda, tenda)Ni wa uwezo, ni wa ushindi
Ni mweza yote kweli, hallelujah ni muumba we, ah Kuimba tunaimba (ni mpaka kwa neema) Watoto tunasala (ni mpaka kwa neema) Ndoa tunapata (ni mpaka kwa neema) Masomo tunaweza (ni mpaka kwa neema) Diploma uko nayo (ni mpaka kwa neema) Watoto unasala (ni mpaka kwa neema) Kuimba unaimba (ni mpaka kwa neema)Huyu Mungu wetu
Anajibwaga (anajibwaga) Ni mweza yote (ni mweza yote) Le, le, le (hallelujah ni muumba wetu) Anasemaga (anasemaga) Anajibwaga (anajibwaga) Ni mweza yote (ni mweza yote kweli, hallelujah ni muumba wetu)Anasemaga (anasemaga)
Anajibwaga (anajibwaga) Ni mweza yote (ni mweza yote) Le, le, le (hallelujah ni muumba wetu) Anasemaga (anasemaga) Anajibwaga (anajibwaga) Ni mweza yote (ni mweza yote kweli, hallelujah ni muumba wetu)Wa milele, wa milele, Mungu wa baraka ni Yesu, eh
(Wa milele, wa milele, Mungu wa baraka ni Yesu, eh) Wa milele, wa milele, Mungu wa baraka ni Yesu, eh (Wa milele, wa milele, Mungu wa baraka ni Yesu, eh) Wa miujiza, wa miujiza, Mungu wa miujiza ni Yesu, eh (Wa milele, wa milele, Mungu wa baraka ni Yesu, eh) Wa mapendo, wa mapendo, Mungu wa mapendoni Yesu, eh (Wa milele, wa milele, Mungu wa baraka ni Yesu, eh) (Ah, ni Yesu, eh)Ah, yo, yo, yo (ah, yo, yo, yo, ni Yesu, eh)
Yelele, yelelele (ah, ni Yesu, eh) Yelele, yelelele (ah, yo, yo, yo, ni Yesu, eh) (Ah, ni Yesu, eh) (Ah, yo, yo, yo, ni Yesu, eh) Yelele, yelelele (ah, ni Yesu, eh)Ah, yo, yo, yo (ah, yo, yo, yo, ni Yesu, eh)
Yelele, yelelele (ah, ni Yesu, eh) Ah, yo, yo, yo (ah, yo, yo, yo, ni Yesu, eh) Yelele, yelelele (ah, ni Yesu, eh) Yetele (ah, yo, yo, yo, ni Yesu, eh) Can you dance for Jesus?Yelele, yelelele
Yelele Yelele, yelelele, lele Yelele, yelelele
Leave a Reply